Kuna hii siku nimepelekea fundi flani bike to replace a certain ring. Jamaa walahi in front of my eyes alichukua mallet ile ya chuma and a chisel akitaka kufungua bike nayo banae. I sweated for a moment wondering what this nigga was upto, aliwekelea chisel kwa bolt akainuwa mallet na mimi kuona what was about to happen nikapiga hio chisel tekee na kumuuliza anataka kichonga nini?
Jamaa akacheka kidogo akasema hivo ndio mtu hufungua hio base ya ring, nikamuuliza kama ashawai fanya kazi na carbon fibre? Ama anaiskianga tu, Akaniuliza, "kwani hii ni ya pesa ngapi?", nikamshow hio haimhusu lakini huwa haiguswi na mallet ofyo ofyo....mimi huyoo nikapelekea specialist, lakini nikajiuliza huyo jamaa hufanya kazi aje? Na jeh kama ningemuachia ati atengeneze nikujie baadaye, si hio ingekuwa machoz tupu?
Anyway, ubaya wa kutembea town mupya ni ati hujui ni njia gani one way!
HAPPY MERRY CHRISTMAS FOLKS, mnaikulia wapi?