Piga honi (horny).. ya msedes, pita kunguru kwa speedy.
siwesmindhawa ni wale wa: Good from Far, Far from Good
shida hawajui kupika ugali.
WIN!!hawa ni wale wa: Good from Far, Far from Good
siwesmind
Wakora wali haribu kikopey siku hizi huwa sisimami hapo kula kachoma. Choma ingine mzuri iko hapo maragwa kwa makuti club nimesahau jina shida hawajui kupika ugali.
as long as kiyambiss inakaa kama ya hiyo picha... siwesmindHehehe... Huwezi mind far from good?
Mlionja game meat. Kikopey is fire of basking from far.Tuma pin.. in other news, some time ago tulikuwa road trip with my crew...kufika Kikopey, tukapatana na scores of nyamchom 'hawkers' who actually had samples for you to test... and then the lightbulb moment came...aki si tulionja zote hadi njaa ikatoweka.
Nilitoka juzi nika kimbia kusalimia mama nyumbani.Afande Umetoka mustuni?
Hii ndio ilikuwanga mcheso hapo Kenyatta market. Lunch time majamaa wanatembea wakionja nyama kwa vibanda mpaka washibe. Siku hizi wahudumu wako rada yao mbaya sana.Tuma pin.. in other news, some time ago tulikuwa road trip with my crew...kufika Kikopey, tukapatana na scores of nyamchom 'hawkers' who actually had samples for you to test... and then the lightbulb moment came...aki si tulionja zote hadi njaa ikatoweka.
Tuma pin.. in other news, some time ago tulikuwa road trip with my crew...kufika Kikopey, tukapatana na scores of nyamchom 'hawkers' who actually had samples for you to test... and then the lightbulb moment came...aki si tulionja zote hadi njaa ikatoweka.
And then this happened?Nilitoka juzi nika kimbia kusalimia mama nyumbani.
Ama white meatHapo mlikula assorted game meat... From pelicans, flamingos, mongoose, hyrax, warthog, fongoe, kiruumii(wild cat) ama kiana Kia ngari, zebra etc etc![]()