It's Me Scumbag Elder Lister May 16, 2021 #2 @Ngimanene na Muchere were you searching for material for today's sermon ukaona plagues of Egypt in Australia!
@Ngimanene na Muchere were you searching for material for today's sermon ukaona plagues of Egypt in Australia!
JazzMan Elder Lister May 16, 2021 #3 Kwa hivyo tuseme the Biblical plagues zinafanyika tena? Utakuwaje na wild fire ikuchomee nchi, kisha uchapwe na corona halafu tena upate janga la kuvamiwa na panya?
Kwa hivyo tuseme the Biblical plagues zinafanyika tena? Utakuwaje na wild fire ikuchomee nchi, kisha uchapwe na corona halafu tena upate janga la kuvamiwa na panya?
kijanamrefu Elder Lister May 16, 2021 #5 Huu ni mwiba wa kujidunga wa wazazi wa hao wakulima just before genociding the natives.
DeepInYourMind Elder Lister May 16, 2021 #7 Australia ina maneno. Mara ni rats, wild camels, wild hogs, all brought by immigrants
Introvert Elder Lister May 17, 2021 #8 Budspencer said: Wapi Guka aone vile panya zinazaana kama wakenya? Click to expand...