Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Nimeona hii gari ikifanyiwa mambo na wazungu nikaangalia kadudu nikajiambia, nikiomoka nakapeleka huko karudi Nairopi na matope ya Mara
Makanika @Introvert hii gari inaweza fanya hivi na suspension ya duka? Na hio yake umeweka brake mupya inaweza fanya hivi?