Where do you buy your Khaki trousers?

Hehe kumbe tuko ligi moja, public transport nayo ndio balaa kwanza 14 seater. It has made me to mark some certain seats nikipata zimekaliwa wacha ningoje next bus. Tafuta mahali "incoming" MCA amekuambia
Mimi nikutumia matatu kiti ya pale mbele na dereva ni yangu pale kwa mlango. Otherwise I will continue waiting for the next. Kwanza these days I prefer kulipia Uber hadi town pale naenda.
 
Gikomba, be friendly to Gikomba fellas. I have also been a land whale (width wise), kwa hivyo usiogope saaaaana.
I am sorry. Mimi si land whale lakini hehe. I am just on the extreme end of the normal curve and in terms of capitalism, we are not that many to justify mass production. Tena kila kitu inatoka china from those midgets.
 
Hizi khaki ni fake hizi siku Kuna moja nilipasua groin area material ilikatika kimadharau bana na Mimi si kanono
 
Back
Top