all kenyans, ata wewe ungekua hapo ungeweka meko kadhaa kwa boot ya SubaruWho is We ?
Na venye gas huwa mzito, whether empty or full. These guyz be carrying three at once.this morning at Ngata bridge Naks
View attachment 46679
maanze, ngaenda kujaza ngaambiwa 2550,Kama ni za Total wacha ziibiwe ndio wamefanya wengine waongeze gas juzi.
if Msedes ama succeed new shape had been there ningelibeba meko nyingi sana, ata ningenunua mia mbili mbili kwa hao walibeba before nifike.Rephrase your statement, some of us prefer and like to earn an honest living.
Furthermore this is a dangerous situation, an explosion could occur.
How stupid do you think everyone is, don't assume everyone would do what you would have.
Ebu tueleze ,Kama ni za Total wacha ziibiwe ndio wamefanya wengine waongeze gas juzi.
Ununua wapi gas at 2550 , i tried national oil and its 3000maanze, ngaenda kujaza ngaambiwa 2550,
sikuamini
last ime nilikua ngajaza na 1700.
my cylinder lasts 3 months.
Hata mimi nimeshangaa. Juzi nimechukua k-gas na 2950/-Ununua wapi gas at 2550 , i tried national oil and its 3000
Welcome to mombasa raha.Hata mimi nimeshangaa. Juzi nimechukua k-gas na 2950/-
Is this official prices za petrol stations or ni Kwa Macharia wa Gas ?Welcome to mombasa raha.
Gas was 1900, ilipoongezwa 16 pc VAT manugu wakachukua advantage wakapandisha mpaka 2650. KOT wakaweka mjadala twitter ndio wengine ambao walikuwa wameongeza mpaka 2250 sasa wamepandisha mpaka 2600 to 2800. Hata natafuta mtungi wa wajiko niwachane na hizi brand kubwa kubwa.Ebu tueleze ,
Official priceIs this official prices za petrol stations or ni Kwa Macharia wa Gas ?
OohOfficial price
Fuel prices are also lower here.
Choices brother, gas and compressed stuff sio za kuchezea, you of all people should know, being the logistics sector.if Msedes ama succeed new shape had been there ningelibeba meko nyingi sana, ata ningenunua mia mbili mbili kwa hao walibeba before nifike.
alaa, kwani iko nini.
Wengine gas ya 6KG last me for 8-9 months, I only cook breakfast and rarely cook supper.Mwanaume ni mwenye hajui bei ya gas
Tuwache priss.Mwanaume ni mwenye hajui bei ya gas