Watu ya Subaru

People with small boy, big boy syndrome are the ones who play this game.
Nilipitwa bypass na subaru legacy and a golf wagon, nikatikiza kichwa tu.
Endesha 1300cc yako bila kusumbua. The only reason ulitingisha kichwa ni kwa sababu in your long lineage, hakuna MTU atawahi nunua gari zaidi ya 1500cc.
Na kwa hio maneno, wacha niingie southern bypass mpaka Kikuyu.
IMG_20210419_174106_8.jpg
 
Back
Top