Yenyewe hii inakaa ya RIP.
Hii sufuria inafaa kuwa sahani ya mbwa sasa. Imeona vita siku mingi kuliko wasomaliNimeingia embu napatana na billboard Wambora for Senyeta nikachoka
Wacha nijimalize na sardines @Mwalimu-G njoo na mmea shukisha Iko gangari.
View attachment 60297