Kabuda
Elder Lister
Katika ikulu ya Nairobi Mtukutu Rais alipokea hundi ya laki tano kutoka kwa shrika la LonRho Kenya bla bla bla..
Hitalufu ya mitambo itarekebishwa haraka iwezekanivyo.
Ukumbi wa kiislamu
Katika kanisa la AIC Kabarak, Hayati mzee Moi aliagwa kwa mara ya mwisho baada ya kuiaga dunia wiki moja iliyopita.
Mwenyezi Mungu amrehemu na amlaze Mahali pema peponi.
Kufunga kituo