Luther12
Elder Lister
Used to have some speaker kwa mtungi mbili zimekatwa and then the unit inawekwa kwa zile drum za maji .Every Friday at 9pm pale Metro FM , push come to shove by Freddie Mcgregor ilikuwa inaweza sana . Later nikapata used car tyres and muziki improved .Shida ilikuwa cost ya kucharge battery hapo centre .
Speaker mimi niliweka kwa clay cooking pot.
