Ngimanene Na Malege
Lister
Pale Wamunyoro Statehouse watu wanafanya appointment weeks in advance vile kumekuwa busy zaidi, a flurry of meetings with those aligning to the itungati movement. Next ni Isiolo pia appointment letter

Lakini niulize, hawa watu huenda Wamunyoro Statehouse hupewa chai ama budget ya maziwa na gas itaharibika?