Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Bana on my to work nikiskiza mawimbo every other ad had a christmas jingle and in between the songs they throw in a Christmas song. Si ni mapema sana kuambia watu waanze shopping na mbesha hakuna. Na kuanza kufikiria mifango ya thigukuu. Anyway, mipango zenyu za sikukuu ni gani?