Turn your volume down
Turn your volume down
Usiweke video !Kuna war kama hii niliona way back in 1989 tukiishi kericho. Only that the order of combatants was opposite. Watoi walianza kuonana war kwa playground. Kelele ikakuwa mingi mama zao wakatokelezea wakaingia ring. Scratches, slaps and hair pulling kidogo onuhusband wao wakatokelezea. Nini nini wazee wameingia mechi wameanza kucheza 1-2. Ilikuwa movie ingine kali sana.
Siku hizi ni kama watu wamejifunza dialogue. Vita ilikuwa the order of the day sometime back but nowadays niku-record kwa simu na issuing threats like the fellas down at Coast who fight using words kikikikiiiKuna war kama hii niliona way back in 1989 tukiishi kericho.
Watu wanaogooa kuchukuliwa P3. Unapiga mtu ngumi and it ends up costing you 50K .. wacha ikaeSiku hizi ni kama watu wamejifunza dialogue. Vita ilikuwa the order of the day sometime back but nowadays niku-record kwa simu na issuing threats like the fellas down at Coast who fight using words kikikikiii
Hakuna draw hapo. Jamaa wa red alipokea mkwaju ya mgongo when he was recovering from the first hit.Tuseme ni draw