Burner Elder Lister Oct 28, 2021 #2 Mwalimu-G said: View attachment 46559 Click to expand... Kuna mtu aliuliza kwa hio thread "ni shop gani luthuli huuza battery ya gari?"
Mwalimu-G said: View attachment 46559 Click to expand... Kuna mtu aliuliza kwa hio thread "ni shop gani luthuli huuza battery ya gari?"
M Mishale Elder Lister Oct 28, 2021 #3 nko sure ni mkenya mwenzake amefanya hivi. time alkua analipa na muuzaji anapackage battery. imenikumbusha hekaya ingine (sikumbuki ni nani) alienda kubuy projector akaekewa block ya mbao. alirealize akiwa ofici amengojewa alete projector
nko sure ni mkenya mwenzake amefanya hivi. time alkua analipa na muuzaji anapackage battery. imenikumbusha hekaya ingine (sikumbuki ni nani) alienda kubuy projector akaekewa block ya mbao. alirealize akiwa ofici amengojewa alete projector
X-TRAIL Elder Lister Oct 30, 2021 #4 Gikosh walikua wanakuambia ulete wakufungie na uko na bag hapo unafika mtaani na tu takataka