Utoto gani umeshindwa kuacha kabisa?

Kuna rumble strips fulani kwa lami huwa not too small that the car simply vibrates. Fairly larger alafu more widely spaced. Kuna moja niliipita nikielekea Sagana nikaiskia poa gari ikirushwa juu mos mos Kama boat kwa maji. Nilitaka kurudia tena
 
Last edited:
Back
Top