Meria
Elder Lister
Huyu Kipusa alivamiwa na nyuki mda mchache kabla ya saa Tatu unusu hii leo hapa Machakos bus park , Machakos Town, kidosho inasemekana alitoka boyfriend yake Asubuhi na mapema Kitui town akiwa amempora vyeti vya usafiri, pesa na maguo , mtoto wa watu alipofika Kuabiri gari aede kwao akavamiwa na nyuki mkononi