Vicius Ricco
New Lister
Walai ufisi itanimaliza sikumoja
jana nimeingia matatu nikaona dem mrembo waah!
Kila mwanamme alikuwa anamwangalia kiplani! Mimi nikarush nikaketi kando yake
nikaanza kusongasonga nikimtingiza ili anione hope #mafisi mnaelewa lkn yote ilikuwa bila mafanikio

lkn nikapata idea:nikamua kufake call ati naonge na mum

"mum nimekasirika na hizi ndege za American airlines , imagine wame cancel trip yangu ya UK!
ndio maana napenda British airways. Hata sahi niko kwa public vehicle natoka airport ju buggatti yangu imepatwa shida .. sijapigia driver wetu ju niko sure umetoka na Mercedes benz , so plz ambia dad akuje na hiyo v8 anachukue ju number yake sina iko kwa hiyo simu yangu iPhone 11 yenye nimesahau hapo kwa room! Ya ok mum sawa sawa .. tafadhali asikawie.. okkkkkk

" all that time huyo dem alikuwa ananiangalia tu
ME:hey mrembo mbona unaniangalia hivyo? Umeshtuka ama?


GIRL: hey okota battery yako ya simu ndio hapo chini ilianguka venye ulikuwa unatoa simu .



Jesoooooo! Sema kuonekana chizi kwa gari!




















ME:hey mrembo mbona unaniangalia hivyo? Umeshtuka ama?



GIRL: hey okota battery yako ya simu ndio hapo chini ilianguka venye ulikuwa unatoa simu .









