Tullow Oil- Wangige

Okiya

Elder Lister
Leo mchana nikiwa mashuguli zangu near a small town called Kamuteini, btw that katown mimi huwa nimetambulika sana, I decided nirudishie mwili shukrani. Nimesimama hapo mbele Wangige kibandaski and ordered chapo mbili na stew( Ugali huku hawapendi). Kumbe badala ya stew wameniwekea mafuta tupu! Haidhuru! wacha nichome hiyo mafuta sahii!!

Btw mwenye nyumba told me nikubaya sana! Zaidi. Numbers are being understated! Watu wajichunge kabisa. Hospitali mahali ako job kumejaa kabisa!

Nice weekend!!

IMG_20210813_142450.jpg
IMG_20210813_200222.jpg
 
View attachment 41516View attachment 41517
So much has changed from Gacio all the way to Kingeero. Kitambo the rentals were mabati houses but the Kabete Valley owner changed the game and now very nice apartments have been built.
Nilihamia hizo area when Thika Road was being built and was working in Westlands. Can you imagine a one bedroom house in Kirigiti, Kiambu was around 10k but I got a 2 bedroom house hapo Kingeero/ Revival at Ksh 7000. But by the time I shifted (2018) from the area 2 bedroom are more than 20k.
 
How did you manage to stop drinking?
Told that story several times here and in the CCA.
First of all,haikuwa kupenda kwangu kuacha fombe.
Basically,I was a social drinker until I got sick(from too much Tusker Malt,ilikuwa inakuja mbili,Moja moto moja baridi,na chaser ya Zappa blue).
Warned by 1st doc to rethink my drink after a two week admission in hospital. Sikio la kufa halisikii dawa. I went straight to bar on discharge. A few days later,I was back. At Pandya Mombasa. This time round,nilishikiwa kwa gate usiku nikienda kutafuta sigara (na Tusker Malt). Second doc talks to me about my drinking. Says it hinges on addiction. I am discharged.
So when I needed to see another doc at a different time,and he questioned me about my drinking it was time to take the guys serious and rethink my life.
Coincidentally,my son was born around the same time.
So I decided to give my son a sober father. 14 years on,I am still going strong sober. Saa hii hata tot ya his female-ish drink ya @Okiya nawesa beba mimi said.

But if anyone know how I can stop smoking I would appreciate a heads up.
 
Leo mchana nikiwa mashuguli zangu near a small town called Kamuteini, btw that katown mimi huwa nimetambulika sana, I decided nirudishie mwili shukrani. Nimesimama hapo mbele Wangige kibandaski and ordered chapo mbili na stew( Ugali huku hawapendi). Kumbe badala ya stew wameniwekea mafuta tupu! Haidhuru! wacha nichome hiyo mafuta sahii!!

Btw mwenye nyumba told me nikubaya sana! Zaidi. Numbers are being understated! Watu wajichunge kabisa. Hospitali mahali ako job kumejaa kabisa!

Nice weekend!!

View attachment 41516View attachment 41517
Kuna kitu mimi hutaka kukuambia kwa muda mrefu lakini najikataza - wewe ni bradefakin jinga head takataka. You went to AHS. Who do you think you are impressing by posting multiple drinks on each photo? Kwani wewe hukunywa juice, whisky, Tusker, na brandy pamoja?

Ujinga kama huu mi huexpect kutoka kwa watoto wadogo........................matako black ya @Introvert wewe.................
 
Leo mchana nikiwa mashuguli zangu near a small town called Kamuteini, btw that katown mimi huwa nimetambulika sana, I decided nirudishie mwili shukrani. Nimesimama hapo mbele Wangige kibandaski and ordered chapo mbili na stew( Ugali huku hawapendi). Kumbe badala ya stew wameniwekea mafuta tupu! Haidhuru! wacha nichome hiyo mafuta sahii!!

Btw mwenye nyumba told me nikubaya sana! Zaidi. Numbers are being understated! Watu wajichunge kabisa. Hospitali mahali ako job kumejaa kabisa!

Nice weekend!!

View attachment 41516View attachment 41517

Hehehe sisemi kitu..... Lakini uko sure ulikuwa kamutiini ama hapo mbele Galaxy kabla ufike Kabete shopping center?
 
Back
Top