So tunaweza sema kazi yao ni kuuza uoga?To kill who?
Hao ni GSU. Na role yao sana sana ni deterrence. Lakini kukiletwa nyokonyoko mtajua what metal they are made of.So tunaweza sema kazi yao ni kuuza uoga?
GSU G company.Hawa jeshi guns zao zinakuanga loaded ?
Mitambai ni kuropokwa tu, anajua hii corona ni fake ama tuulize @Pamba 1 kwa nini hakushika Konyagi?Wapi warning ya Mitambai about super spreader events?
Terrorist groups marshalled by SongoTo kill who?