It's Me Scumbag
Elder Lister
When you have been honest with your main squeeze but she still wants to dis you...
Last edited:
Hawa watu hunishangaza vile hao hubaki down to earth despite the fame and fortune. Mimi mkanipea 1m imeshikana saa hii, mniweke chairman ya local cattle dip halafu nitoke kwa TV evening hata kama ni kwa risto ya watu kunywa pombe kwa lorry imedunda, hamtalala. Kwanza nitanunua hii kijiji nifukuse maghaseer zote starting with @Meria .
1M ni pesa kidogo sana. Depending on where you live that is not even 2 year's rent.Hawa watu hunishangaza vile hao hubaki down to earth despite the fame and fortune. Mimi mkanipea 1m imeshikana saa hii, mniweke chairman ya local cattle dip halafu nitoke kwa TV evening hata kama ni kwa risto ya watu kunywa pombe kwa lorry imedunda, hamtalala. Kwanza nitanunua hii kijiji nifukuse maghaseer zote starting with @Meria .
Thats is why hata Thika Road iko na lanes...ya watu wa kuenda direct mpaka Thika,ya watu wa exit za Kahawa na Githurai,na ya watu wa mat ya kusimama kila stage1M ni pesa kidogo sana. Depending on where you live that is not even 2 year's rent.
Someone once told me, the moment you achieve a dream, you realize it wasn't big enough. Then you have to dream bigger. So goes the paradox of human existence. 100k seems like change when you have 1M in the bank. 1M feels like change when you have 10M in the bank.Thats is why hata Thika Road iko na lanes...ya watu wa kuenda direct mpaka Thika,ya watu wa exit za Kahawa na Githurai,na ya watu wa mat ya kusimama kila stage
At least alienda akitatua shida ya gully errosion kwa mtaa.
Umeamua kufungua another war front?