RWNBP. Team Kivutha HOYEEEE!!!!
Niliona @Okiya alitoka ndani ya Kivutha. Inaonekana alikuwa ametoka kidogo for fresh air halafu arudi ndani...
Hii ndio plan by the way.Me nilisema I'm team kivutha. But one week to election nikiona its only Ruto who can beat dynasties then nitapea Ruto kura