Field Marshal
Elder Lister
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaai............................kwani kila siku tutaendelea kuskia mambo tuu ya korona, korona, korona?
Yaani dunia imekuwa boring mpaka unashindwa unataka kushuka.
Kitambo kidogo ulikuwa unakaa tuu hivi unaskia (not in chronological order) ISIS ime-decapitate watu 30 pale Syria unaingia Liveleak kutafuta video. Kidogo kidogo unaskia ndege ya Malaysia imelost ama rebels in Ukraine wamelipua ingine. Kabla hiyo isink unaskia Japan nuclear riakta imepata meltdown mbaya sana, na huko West Africa watu ngiri kumi wamekufa na Ebola.
Ukifikiri mambo imeisha habari inafika Michael Jackson amenyuria na Saitoti ameanguka na ndege. Pande ile ingine Gaddafi ame-madwa na wakoloni, na Osama amepatikana na akatupwa kwa bahari. Earthquake Turkey imeua ngiri tano na Ethiopia watu 40m wana-starve.
Why is there no news of substance nowadays bana? No wonder juzi tulifuatilia minute-by-minute habari za ile meli pale Suez. Yaani that was the most exciting thing that happened in more than a year, halafu washenzi wakaitoa instead of letting us see what was going to happen to all those cows in stranded ships (can cows swim in the ocean, for example, or do they turn carnivorous?).
It all makes you wanna take things into your own hands like, ukimbie mahali Uhuru ako umwite 'nyanyako' just to see what would happen..............no wonder that mzungu wa Karen alikaa tuu hivo akaboeka akatuma drone kwa DP. Boredom is a bad thing.
We need an earthquake somewhere, a good mass-shooting in the US, may be an asteroid or two.
Korona ime-bore.................

Last edited: