This is Guka - This Friday.....

Field Marshal

Elder Lister
Sina mbele wala nyuma. Sina form wala plan. Sina uwezo ama nguvu.

Ndizi nimekula na yoghurt nimekunywa breakfast.

Now my sadness is, nitatoa wapi WhiteKAPS jioni?

Paybill nili-retire. Bakuli nikachoma eti nimeomoka.

Sasa nita-do?

All ideas are appreciated.
 
Wacha ninunue good hacienda yako na instalment
 
Usifike hii point ya maskini
FB_IMG_16198663101644566.jpg
 
Back
Top