Field Marshal Elder Lister Jul 9, 2020 #1 Mfalme Construction needs site to excavate murram from around 20km from Westlands. Kama uko nayo inbox.
Mfalme Construction needs site to excavate murram from around 20km from Westlands. Kama uko nayo inbox.
G Gus Weyne Lister Jul 9, 2020 #3 Mfalme construction wanakaa ku escavate murram yooooote, wawache mashimo deep kuliko ignorance ya jojina makena kwa shamba yako, yenye watu wazima wakianguka hawawezi patikana tena, halafu wakose kukulipa. Hiyo jina inasound suspect.
Mfalme construction wanakaa ku escavate murram yooooote, wawache mashimo deep kuliko ignorance ya jojina makena kwa shamba yako, yenye watu wazima wakianguka hawawezi patikana tena, halafu wakose kukulipa. Hiyo jina inasound suspect.