Field Marshal
Elder Lister
Sasa the other day I intimated to Meria that I have blocked two prominent listers. Tulikuwa pale Gachui kwa Jack tukikunywa WhiteKAP at 2100hrs post-kwarantine wakati msedez ya huyu jamaa ili-break down pale Rwa-Mburi karibu na Thogoto.
So mimi na ujinga yangu nikamwambia nime-block @Okiya na @It's Me Scumbag . The former because ananifuataga kama nzi ya choo yet he's my junior in everything, and the later because he's just a pain in the ass trying to show how clever he is. Now, this was information given in the strictest confidence, singetaka ileak. But guess what?
Saa hii natoka Kwa Caro pale Mabatini LA napata hawa jamaa washapatiwa 411.
Eti " Wewe kamzee ka four-wheel Wingroad double-cabin with leather seats, power-steering and air-conditioning, uminiweka-block so what do you want? Hata mboro hauwezi simamisha ni sisi utashtua?".
Jesuuu!
Meria uwachage ufala. Mtu akipata kaswende na wewe ni daktari sio lazima utangaze. Ziea kuweka siri. Unatuliza boi wangu, hata wewe unaweza angukiwa na tafash.
Sasa hawa wawili unafikiri kuna siku tunaweza saidiana vile umenilipulia? Si watapata nanyongwa na manki za pale Bomas waniache tuu hapo nikipiga nduru?
Umenichomea bro, mbaya!

Last edited: