Field Marshal
Elder Lister
"Look guys, when was the last time you heard a muzungu Kenyan complaining that he's poor because his taxes are being stolen by politicians, wanasiasa? Or for that matter, a Muhindi? Lini umeskia? Na unajua, we pay the most taxes in this country. The taxes paid by 10,000 mzungu and muhindi are more than those paid by almost all other Kenyans together, nyinyi watu weusi. Lakini kila siku ni kupiga kelele-kelele vile taxes zenyu zinaibiwa. What taxes? WE PAY THE FUCKING TAXES! Nyinyi ni peni mbili tu! And those who pay are actually on serikali's payroll, so ni kama serikali inajilipa tuu."
"Shida ya watu wetu weusi ni complaining kutoka asubuhi mpaka jioni. Hakuna kazi ingine. Governments everywhere are the same. They are corrupt and stupid. Kwanini hapa Kenya ikuwe tofauti?"
"Wakenya lazima you get your shit together and work. Hakuna siku serikali itafanya wewe nakuwa tajiri, hapana. You have to work kwa environment uko na ku-overcome challenges zote. Lakini sasa ona. Mtu anapata watoto kumi halafu anasema serikali ndiyo imefanya awe fukara. Ni muhindi gani umeona na watoto kumi? Hapa Karen ni muzungu gani umeona na watoto tano? Kuja kwetu Laikipia unapata muzungu na shamba natoshana na Belgium na hata hana mtoto moja. Mimi munajua siwezi kuwa racist lakini tuseme ukweli, Mwafrika lazima ajue hii si 1800. Azae watoto naeza lea. Asomeshe hiyo mtoto mpaka Havard, mtoto hawezi kuwa fukara."
"Halafu lazima mtu kutumia akili. Siyo kila mtu biashara ya kuuza second-hand ama M-pesa shop. Kuna muzungu umeona kwa hiyo biashara? Kuna muzungu umeona ameandikwa kwa muhindi ama kwa serikali? Wamwisho alikuwa yule mshenzi Leakey. Sisi iko msituni tunaangalia wanyama na kuharvest extracts za miti tunatuma ng'ambo. Pesa mingi kabisa. Mbona nyinyi hapana fanya kitu ingine, kwani hakuna akili ya kufikiria? Kujenga tu kila mahali. Mbona hapana fanya kitu mwingine hapana fanya? Masomo ni ya nini, kupiga kelele kwa social media?"
---------------
Robert, thanks for the drink. But Karen Golf sirudi tena ukiniita. Kwenda hiyo Laikipia yenu ukufie huko, kaburu wewe........

Last edited: