Things that you did in campus life that hurts to date

Kuna siku dryspell imenitesa nikabeba dame kila mtu alikuwa anasema hajui kunyimana...
Mimi nikanyimwa.....iliniuma juu nilijaribu sana kufikiria kasoro yangu iko wapi....
Endelezeni najua wengi mmepitia

Either alikuwa ana nyesha ama alikuwa anakulwa na beste yako so hakutaka kuharibu uhusiano, ama alikuwa ana kuheshimu sana, ama tu maybe uko down tu hivyo
 
Nilikuwa na dame mjaka alafu siku moja nikamwambia tuweke break kwa mapenzi yetu. Alinichukia sana na hakuwahi ongea na Mimi. I hated myself so much for that.
 
Wenye hatukufika University tukae wapi?

images(5).webp
 
Bought Eveready shares in the IPO. With my fucking helb money. Instead of drinking Keg at mvuma nyuki bar near jevanjee.
 
Back
Top