The brave community....

Corona season inakupeleka aje my airhead fren.
Apart from kuweka t and g kwa nyumba nothing else . I have added excessive weight. Kisirani mingi kwa boma.. vitu mingo. Good thing is now I know how to make bread at home
 
Kure indonesia wamejua hawajui.....
View attachment 22299
Jana nimekuwa Muranga, maragwa kwa kina @Mwalimu-G people are very brave kwa hio club inaitwa casablanca. Kuna live mugithi na beer kama kitambo. Mimi nilipitia hapo kula nyama choma ya mbuzi na kuendelea na safari.
We are learning every day about this ugonjwa. But we now know that:

1. Wearing a face mask protects you and the next person. If you care for other people, wear one when in public.

2. Maintain a distance of at least 1.5m.

3. Wash or sanitize your hands whenever possible.

4. Avoid crowded places.

I'm happy to have a lot of elderly relatives including my parents. Many of them have chronic illnesses and could die if they got infected with this disease. Why shouldn't they be protected?
Jana nilikuwa huko Muranga githiga mazishi ya mzee flani alikufa Covid-19 related complications. Hii ugonjwa iko.
 
Jana nimekuwa Muranga, maragwa kwa kina @Mwalimu-G people are very brave kwa hio club inaitwa casablanca. Kuna live mugithi na beer kama kitambo. Mimi nilipitia hapo kula nyama choma ya mbuzi na kuendelea na safari.
Jana nilikuwa huko Muranga githiga mazishi ya mzee flani alikufa Covid-19 related complications. Hii ugonjwa iko.
Hii ni porojo, the people are brave.
 
Back
Top