Meria
Elder Lister
Watu wanapenda Ngwati kweli, over the last two days kila mtu ako na smart phone amejoin TG.
mpaka mapastor na watu wengine huwezi fikiria wanatiagwa juu vile wako holy.
uzuri wa telegram is inakupatia notification of everyone who joins, ata number ulikua umesave ukapoteza 2010 notification inakuja tu.
side yako TG iko aje.