So nikiwa pale P.O. Box 7 Kikuyu there were claims that chakula ilikuwa inawekwa mafuta ya taa. Apparently this was being done kupunguza libido. Kwanza on Saturdays when we had sports day and girls school were visiting it was rumoured iyo siku walikuwa wanaongeza mafuta ya taa extra.
Kwa waalimu wale wako senate, is it true food kuwekwa mafuta taa?
Kwa madaktari wale wako senate, mafuta taa hupunguza libido?
Kwa waalimu wale wako senate, is it true food kuwekwa mafuta taa?
Kwa madaktari wale wako senate, mafuta taa hupunguza libido?