TBT: THE REAL KENYAN MUSIC

Cabaye Captain

Elder Lister
Sababu inabamba, inashika
Wingu la tisa inatufikisha
Ukiachilia mahewa, manze, DJ unatubeba

Karibia, inakubamba
Vipi dada, shake hiyo nanda
Inaku-touch-touch, usi-relax-lax
Kwenye dance floor, show us your work-work
Unanoki, hauchoki, kwenye dance floor, hautoki
Unahisi hii mziki?
Unahisi Nameless na mimi?
 
Jasho yatiririka
Moyo wapiga
Kila mtu anawika
Hajui vile ya kusema
Mahewa tunapewa
Yatiririka
Moyo wapiga
Kila mtu anawika
Hajui vile ya kusema
Mahewa tunapewa
 
Back
Top