Luther12
Elder Lister
kumbe unajifanyanga millennial na wewe ni mtu wa ile millennium nyingine

kumbe unajifanyanga millennial na wewe ni mtu wa ile millennium nyingine
tumetoka mbali
View attachment 33941
arrra.. kumbe mimi pia ni millennial.. tukiwa na @jakipash![]()
Millennials - Wikipedia
en.wikipedia.org
Buda, ulikuwa sonko saidi.
Or the celebration and swag that came with acquiring it...Sitaki kusema how long it took to save for it.![]()
Or the celebration and swag that came with acquiring it...
Kencell made mobile phones affordable ,simcard ksh 2500Buda, ulikuwa sonko saidi.
Kencell made mobile phones affordable ,simcard ksh 2500
KAK in late 80's Gashui?Late 1980s.
ilikuwa what fraction of your salo then? Nilikuwa form 3 nikiskiza sean paulCheap.
I recall purchasing Nokia 1100 at about 7k around 2003.
the lines were orderly actually, I remember accompanying my mum. Ule mtu alikuwa analete shida ni ule alikuwa anangoja simu ipigwe. Anashinda akiomba watu wampatia 5 minutes so that when his call comes simu isiwe engagedthis is staged though hakuna mahali Kenya utapata watu wamepanga laina vizuri hivi..
huyo wa mwisho.. na watatu kutoka nyuma.. HKM
umejaribu Nile Special?5.5 ALC%
View attachment 33975
i stopped imbibing in 2014.umejaribu Nile Special?
unasindikiza na biscuitsi stopped imbibing in 2014.
i only take milk and fresh mango juice
ilikuwa what fraction of your salo then? Nilikuwa form 3 nikiskiza sean paul
5.5 ALC%
View attachment 33975
And something they brewed in Tanzania called Bingwa.Wapi Kenbrew?
Vienyeji safi, back then obesity haikuwa that common. Saa hii ni mashosho.
Airtime ya 50 ilikuwa kweli? I thought it came baadaye kiasi.Around that time safcon entered into an arranged marriage with my employer then to geuza me like a chapati. Nikandungwa Nokia 1100 I think for 6,000 plus line na airtime ya 50. Nikalipa polepole.