TBT: Gamers Edition.

JazzMan

Elder Lister
Oh man, what would life have been without NFS II. Nilikuwa expert, watu wa FZR 200 nilikuwa nawaonyesha vumbi na Ford GT-90



Halafu pia akina FIFA 98. Nakumbuka commentator tu akisema Vialli (Chelsea fan tangu kitambo baada ya ma-parrot wa arsenal kujaribu kufanya niwe fan, but Zola won me over.)



And then kuna huyu msee. The theme song has been my ringtone ever since. Super Mario



Hii game kuna beste alikuwa ameipenda mpaka akapewa hiyo jina hadi tumalize class eight. Rayman!!




For some reason, hii gae sikuwahi pita hapo kwa cantaur iko kwa waterfall. Nitairudia soon. Hercules.



Kama mlikuwa na friend ako na hasira ama stress mingi, hatungemwacha asikie hii sauti, juu ile stress ilikuwa inafuata ni kama ya ku-defuse IED.





Ongezeni zenu
 
Back
Top