TAFAKARI

kitela5

New Lister
*Kama utasukumwa Sana nakiu kwenye kutafuta maji yakunywa Basi Kuna nafasi kubwa yakunywa maji machafu. Ila Kama utasukumwa na Akili kutafuta maji yakuitatua kiu yako basi utakunywa maji Safi na Bora kwa hitaji lako. Macho bila Akili hayawezi kutofautisha Kati ya Nazi nzuri na koloma. Ila Akili yenye utulivu inauwezo wakutofautisha Kati ya Nazi Bora na koloma. Usijutie kwanini kila pato lako sio furaha Bali nimaumivu Bali jitahidi kuzishilikisha Akili iliyopevuka ikuletee pato Bora katika hitaji lako. Maana kulipata pato Bora kunahitaji Akili yenye upeo mpana Asanteeeni wananiitaga kitela Samuel 🇰🇪
 
Back
Top