Jug
Elder Lister
Leo ni siku yakujua mbivu na mbichi(kiswahili apana mdomo change) kwa corner moja kuna mzee(Brady) na iyo kipande ingine kuna kijana(Mahomes). Uga utakuwa Raymond James Stadium, Tampa. Mechi ni Kati ya Tampa Bay Buccaneers na Kansas City Chiefs. (phew kahasho kamenitoka nikitype ii maneno).