R_Silver Lister Jul 21, 2020 #21 Pamba 1 said: Mahali niko imetutwanga hadi niko leave ya lazima. Saturday naenda kusalimia watoto ni kikunyuwa busaa. Click to expand... Poleni mkubwa..sasa replacement wanatoka wapi?
Pamba 1 said: Mahali niko imetutwanga hadi niko leave ya lazima. Saturday naenda kusalimia watoto ni kikunyuwa busaa. Click to expand... Poleni mkubwa..sasa replacement wanatoka wapi?
P Pamba 1 Elder Lister Jul 21, 2020 #22 R_Silver said: Poleni mkubwa..sasa replacement wanatoka wapi? Click to expand... Hakuna kazi mingi mahali niko.
R_Silver said: Poleni mkubwa..sasa replacement wanatoka wapi? Click to expand... Hakuna kazi mingi mahali niko.
P Pamba 1 Elder Lister Jul 21, 2020 #23 Hii kipindi ya papa shirandula itaendelea kweli, naona kazi za watu zikipotea.
E emali Elder Lister Jul 22, 2020 #24 Kdawg254 said: Mahali niko kuna 4 presidential escort amongst many other @Pamba 1. Hii kitu inakaa makarao imewatwanga sana juu hata remandees wako kiasi na akina @Pamba 1 wanashika doria 24/7. Click to expand... wekelea hekaya bana.. how did you end up there? ama wewe ni medic?
Kdawg254 said: Mahali niko kuna 4 presidential escort amongst many other @Pamba 1. Hii kitu inakaa makarao imewatwanga sana juu hata remandees wako kiasi na akina @Pamba 1 wanashika doria 24/7. Click to expand... wekelea hekaya bana.. how did you end up there? ama wewe ni medic?