Shock Absorber "Kumwaga"

Jug

Elder Lister
Wadau iko jalopy inapatia mtu stress. Major service ilifanyiwa ii Jan Shocks za mbele aka badilisha since zilikuwa zimechapa. Badaa ya wiki kadhaa Shock ya Left ya mbele "ikamwaga" akaibadilisha.

Wiki ka mbili ama tatu zimepita gari imekuwa tu sawa. Lakini jana iyo Shock ya Left "imemwaga" tena(orgasm yenye iko kwa iyo mguu hehe) kwa ii harakati yote Shock ya Right bado iko imara.

Leteni mawaidha ya venye anawesa saidaka.
 
Sandi sana Afropuff.
Omosh ako jaba, but he suggests that for even wear, momo lazima ikae katikati ya back seat.
If possible, directly above the differential kama zile steel coils ule jamaa wa Githurai hubeba.
Over and out.
Baraza JM would be proud
 
Jamaa anasema yeye hutumia Monroe, condition of the road constant since zenye alitoa zilikuwa zimeserve yeye 2+ years. Hapa mimi nasuku quality ya izo shock
 
Jamaa anasema yeye hutumia Monroe, condition of the road constant since zenye alitoa zilikuwa zimeserve yeye 2+ years. Hapa mimi nasuku quality ya izo shock
Swali ni moja: alinunua pesa ngapi? na alisave ngapi? Na kwanini hataki kutumia pesa alisave kununua shock ingine?
 
Ii yenye imemwaga sai alibadilishiwa mahali alinunua, swali yenye tunajiuliza niaje mguu moja ndio inakuwa affected
simjaribu vile the drunk kipara canine handler nduthi. mechanic amesuggest...momo ikae back right for a while
 
Wadau iko jalopy inapatia mtu stress. Major service ilifanyiwa ii Jan Shocks za mbele aka badilisha since zilikuwa zimechapa. Badaa ya wiki kadhaa Shock ya Left ya mbele "ikamwaga" akaibadilisha.

Wiki ka mbili ama tatu zimepita gari imekuwa tu sawa. Lakini jana iyo Shock ya Left "imemwaga" tena(orgasm yenye iko kwa iyo mguu hehe) kwa ii harakati yote Shock ya Right bado iko imara.

Leteni mawaidha ya venye anawesa saidaka.
Still haven't answered how much you bought the shocks,and what kinds of road u use daily.... Quality and strength of springs also play a huge part on longevity of the shocks....
 
Back
Top