Kwani Coast Bus,Mash,Modern Coast,Dreamline,Panda plus KQ,Safarilink wanatumia reli? ------> wacha nikae hukooo.Hawa watu wataniharibia mipango yangu ya kuenda Mombasa. Meffi kabisa.
Siwezi tumia basi na venye zinaendeshwa na matharau kama probox za miraa. Plus I have never been a fan of flying and never will.Kwani Coast Bus,Mash,Modern Coast,Dreamline,Panda plus KQ,Safarilink wanatumia reli? ------> wacha nikae hukooo.
Tumia Box, way faster than buses and still comfortable.Siwezi tumia basi na venye zinaendeshwa na matharau kama probox za miraa. Plus I have never been a fan of flying and never will.
Are you sure, space ndani ya box si ni ndogo sana, hauwezi stretch miguu by standing na dereva aki belch harufu inafikia hata mtu ako back seatTumia Box, way faster than buses and still comfortable.
Confirmation.I think hapa ni sabotage.
Reli wamengoa wakauza kwa scrapAraaaah, delays every 2 days, wharis going on?
Confirmation.
Police in Makueni County have launched a manhunt for unknown people who vandalised a section of the Standard Gauge Railway (SGR) line.
That's what will happen.MetaMeta alisema vandals wawe shot on sight sio?
That's what will happen.
How can they sabotage unyes project