Na nikama all school owners have agreed.Wenye shule wameona wazazi wamelipia 4 terms, na zimependa sana hiyo revenue. Sasa kuwaambia wakate income kurudi 3terms hawataki..
Lakini kama increase ni 40%, sincerely sijui wazazi watawezaje. Either watu watahamisha watoto to public or shule zikubali kubaki na unpaid fees kibao.
The wives are not in schoolDivorce one wife
Si watoii bado ni wakoDivorce one wife
I am in the same boat .Kwanza najua junior secondary uniform is different.Text book list shule haija tu inform bado , fees structure ita kuwa Moto ya kuotea mbali . This is what a nearby school had shared and this was late last year . I am sure the nearby private schools will use this to set their figures .Bado nangoja yangu with baited breadth
I am in the same boat .Kwanza najua junior secondary uniform is different.Text book list shule haija tu inform bado , fees structure ita kuwa Moto ya kuotea mbali . This is what a nearby school had shared and this was late last year . I am sure the nearby private schools will use this to set their figures .
The below does not include uniform and meals @ 17500
Transport starts at around 10k for the zone nearest to the Lizzie Wanyoike .
View attachment 82930