wakimani
Elder Lister
There is this ninja anaitwa Sam West distributors. Jamaa ametengeneza empire yake buanaa ana own like nusu ya Nairobi chini ya maji. Wale ma nigga huishi along Kikuyu road hapo Kawangware wanamjua venye ni mzing. Alafu hadi ma trucks zikikam ku offload mizigo hufunga road na kuweka jam ya like 90 minutes na hakuna kenye mtaduu juu ya ile anasaidia serikali na tax . Hii jamaa Iko na doo walai inaeza fund arvs za bwana ya Rachel ya 20 years na isiishe . It is rumoured that if this guy decided to repay our country's debt, he could save Kenya once and for all. Sazile sukari 1kg ni 180 yeye anauza 125 hadi unashindwa ama yeye yake inatengenezwa na juice cola . Mtu ata hana soshomidia unabishana naye aje.
Ata Niko sure hajaona key-nene cha Sheryl Gabriella. Huyu achana na yeye bana
Ata Niko sure hajaona key-nene cha Sheryl Gabriella. Huyu achana na yeye bana