Duke of Busia
Elder Lister
Nime kujia breakfast kwa hoteli ya CBD huku Murang'a lakini menu nachanganya mimi saidi

nataka mniambie iyo number 12, 23 and 33 and 34 ni nini before I make an order sababu mwihaki the waiter ameniambia I can take all the time I need.