Wakumbwa najua mumereo lakini naulisaje ni wapi mtu anaweza weka sensitive documents ama household items for a period of one year zikue safe at mwananchi prices...
Ahsante
View attachment 48671
Yeah hii ni bei ya jioni will check themKCB bank charges 2k a year for the safety deposit box.
A box how big. Kama zile za majamaa wa fake dollars ni kama shillingi ngapi hivi?KCB bank charges 2k a year for the safety deposit box.
A sizeable box about 30 cm long for keeping your valuables and documents.A box how big. Kama zile za majamaa wa fake dollars ni kama shillingi ngapi hivi?
Kama ya postaA box how big. Kama zile za majamaa wa fake dollars ni kama shillingi ngapi hivi?