Tumepanga
Tumesema
Tumeweka mikakati
Tutafanya
Tutapunguza
Tutateremsha
Tutahakikisha
Tutarekebisha
Tumeondoa
Tumeongeza
Tumeongea na waziri
Vile Vile Tumetenga Billioni
Mwaka huu
Mwisho wa wiki hii
Kuanza wiki ijayo
Chini ya miezi sita
Kufikia mwezi wa Tisa
Kuanzia mwezi ujao vijana milioni mbili watapata kazi
Mwaka ujao kila mwanafunzi ametengewa elfu hamsini