Ukiona chatu akivuka barabara simama kwanza apite.
Hii haitambui uko na gari gani ama umebeba tonne ngapi. Kuna kandere mmoja tulifanya nayeye kwa kampuni na alikua na experience ya miaka mingi.
Alinishow kuna siku alikua na container ya 40 feet ya spare parts za gari. Sasa alipoona hii kamba kwa barabara akaamua apite juu yake ili pia atimize maandiko ya bible yanavyosema. Shida ni miguu za mbele zilipoikanyanga tu kitu ilifura kama baloon
