Question of the Day: What's Your Funniest Experience after Smoking Weed?

tukiwa vescon bamburi, tumetoa sofa nje usafi usafi kiasi tukaenda balcony kuwasha ndom.
Tukakumbuka kuna sofa nje inafaa tuweke ndani, so sisi hao tumeshuka down mimi nikashika side moja beste yangu akashika hio ingine.

It was a distance kama 5 mtrs to the door, imagine after bending over to pick the sofa we did not stand up. Zimetushika mbaya but tunabeba sofa tume inama while walking towards the door. A few seconds passed after tumeona nn tunafanya. Tulicheka tukigaragara chini.
 
mimi na beste flani tulikuwa tunacheza fifa kwa ps.. na kuchoma mdogo mdogo....then tukanza kuwatch ball.. roommate yangu akaingia keja.. ndio anatuuliza mbona tunawatch replay ya fifa.. tulikuwa tumewatch hiyo replay ikijirudia for kitu 30 min..
 
Back
Top