Greedy genius
Lister
Bullshit.This still holds true to this day.
Bullshit.This still holds true to this day.
Biwott happy nyuma ameweka sura ya mbuzi
hii mpaka leo mi naamini. Moi ni serikali na hiyo 504 ni NIS na kadhalikaAti ukitaja jina ya Moi ovyo ovyo, anakuskia na utakujiwa na Peugeot 504 ulale ndani
eti pia ukikaribia reli sana kama train inakuja.. hiyo reli inakua magnetic inakuvutaIf you place a coin on a railroad, the train would topple over
Thank you I was going to say the same thingIt is actually doing so from an oil secreting gland near the cloaca.
They feel disrespectedBtw hii kitu ya watu kusema 'Usinipoint' ilitoka wapi? What's so bad about kupointiwa?
That's so sh!tIn primary school we had a boy who used to suffer epileptic fits.
We were told that if he farted while having a fit and you smelt the fart you would also catch epilepsy.
You should have seen how fast we used to skatara every time he went down with a fit!.....
Kikikikkkk..
Looking back now I know it was just a way to get kids away from him to allow him enough oxygen.
Poor boy.......
Punda haiwezi bebwa na gari ikangalia nyuma. Ati itacheka hadi ikufe.
Never verified this...
Hio dot ya red kwa forehead ya wahindi ni silencer.
kama wanabonga mingi una press alafu wata mute
Punda haiwezi bebwa na gari ikangalia nyuma. Ati itacheka hadi ikufe.
Never verified this...
Hapa ulicheswo usirushe macho kwa mbochAti ukikamua Dame Mzee kukuliko atakuchoma msedes.