Prism Tower: no single tenant for two years

Cortedivoire

Elder Lister
Staff member
1580737677448.webp
 
Problem ya hiyo building is accessibility. The road is too narrow.
Coincidentally, next to it kuna nyumba ingine inajengwa
 
Westlands :adjacent to Waiyaki Way.
Last year najua landlord alipatia tenant 6 months bila rent .After which the rent was reduce to Ksh 100,000 from Ksh 190,000
Ile office space iko Westlands na kando ya Waiyaki Way hadi ABC Place ni excess...hakuna vile nitaelewa ile economic sense ya hizo construction. Ukiongezea apartment ziko Rhapta Road naona ni kama occupancy iko kitu 30%, ikiwa mtu alijenga na pesa halali atakua amekonda
 
Na vile rhapta rd apts ni pricey.also what happened to Loresho ridge,fully occupied ama?
 
Ile office space iko Westlands na kando ya Waiyaki Way hadi ABC Place ni excess...hakuna vile nitaelewa ile economic sense ya hizo construction. Ukiongezea apartment ziko Rhapta Road naona ni kama occupancy iko kitu 30%, ikiwa mtu alijenga na pesa halali atakua amekonda
Waiyaki Way is the next frontier...ngoja hiyo barabara imalizike.
 
Ile office space iko Westlands na kando ya Waiyaki Way hadi ABC Place ni excess...hakuna vile nitaelewa ile economic sense ya hizo construction. Ukiongezea apartment ziko Rhapta Road naona ni kama occupancy iko kitu 30%, ikiwa mtu alijenga na pesa halali atakua amekonda
Kwanza GTC ikiisha kutakuwa na a lot of office space.
 
Back
Top