Mongrel
Elder Lister
Mbona watu fukara huwa na entitlement hivo,? Maringo ya peni mbili,leo nilikuwa nataka kuchomewa water tank hapo huwa pako na tap juu pamepanuka kidogo na pana leak,nikaita jamaa wa kuchomelea makarai,mnajua how much the little old fucker alilipisha? 1500 ,na his tools of trade ni Moto kwa gallon ya rangi,na tuchuma tuwili na hio kazi haiwezi mchukua more than 30minutes,.nimeamua nijifanyie liwe liwalo