Piggy back

Meria

Elder Lister
For 10 KCr, nipewe location
87796679_3095479930486761_7104675892487520256_o.webp
 
Whle living in Webuye (for a short while) in my earlier years, nilikuwa napenda kuketi kando ya barabara nikingoja Eldoret Express na Webuye Escort zipite hapo kando ya Park Villa karibu na what is now County Hospital.

Those engine sounds were just amazing. Issa shame sikuweza pata opportunity ya ku-tinker na those buses.
 
Back
Top