Tunaamka saa tisa usiku kuhakikisha bibiyai imeanguka by 0800 hrs.
Wee ata utakuwa umechelewa saaana mimi by.....Tunaamka saa tisa usiku kuhakikisha bibiyai imeanguka by 0800 hrs.
Nilisikia Ruto anasimama apate kiti,,naona akiwa ameketi kumaanisha ashapata